MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA ILI KUSAIDIA KUWA NA AFYA BORA


Kula vyakula vyenye virutubisho kupunguza kula vyakula vya wanga kwa sana

Kufanya mazoezi ili kuujenga mwili wako kuwa kuwa na afya njema inaweza kusaidia kujiepusha na magonjwa ya kudumu mfano ugonjwa wa moyo' kisukari

Inua kiwango cha mfumo wa kinga ya mwili

Haijalishi una ukakamavu wa kiwango gani na haijalishi unakula vyema kiasi gani, mfumo wako wa kinga ya mwili, kwa bahati mbaya huwa na kiwango cha chini cha ufanisi kadri unavyoendelea kukua kiumri 

Kwakuzingatia mambo hayo unaweza kuimarisha afya yako ya mwili .



Post a Comment (0)
Previous Post Next Post