Ni moja wapo ya mapishi ya kawaida ambayo mtu yoyote yule anaweza kujaribu kupika nyumbani kwake kitu kinzuri kwa mkate huu nikwamba unaladha tamu kama tu keki za chokoleti na kadhalika
Huwa napata idea ya pindi tu ninapokuwa na mabaki ya ndizi nyumbani kwangu na nimkate ambao haukosekani nyumbani kwangu
Ni mmoja wapo ya mapishi maarufu ambayo watu wengi mtandaoni wanafundisha jinsi ya kuupika
Hapo nyuma nimejaribu mashi mapishi kadhaa ya mikate mbali mbali ila tangu nimejaribu mkate huu wa ndizi siku jaribu aina nyingine tena
Ladha ya ndizi sio tamu sana kupita kiasi kwa hivyo huufanya mkate wangu kwa na ladha ya kipekee kabisa