VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHO ZAIDI

 Kuna Vyakula aina mbali mbali Duniani vyakula vya wanga (carbohydrate), protini ,vyakula vya vitamini ,mafuta ,maji nakadhilika.

Kuna faida kubwa sana yakula vyakula ambavyo vipo kwenye makundi haya..

Protein ,husaidia kuunda mwili kivipi 

Tunashauriwa na wataalamu ulajiwa protini kwenye miili yetu husaidia  kuustawisha mwili uwe katika hali nzuri mfano  ukuaji wa nywele unahitaji protini na kucha .

Faida nyingi na kedede?




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post